Vidonda kwenye uume vinaweza sababishwa na magonjwa au hali mbalimbaki zisizo magonjwa.
Matibabu ya vidonda kwenye uume huhusisha matumizi ya dawa na njia zingine. Video hii imezungumzia aina mbalimbali ya vidonda kwwnye yume na visababishi vyake.
Kwa maelezo zaidi, soma makala ya vidonda kwenye uume.
Kwa video mpya zenye maelezo ya mambo mbalimbali ya afya, subscribe kwenye youtube channel ya ULY CLINIC.
Kuhusu kundi
Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...