top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Maumivu ya kichwa

Kichwa kinaniuma mfululizo upande mmoja , nahisi kichefu chefu, siku za mwanzo nilihisi kizunguzungu mpaka nikazimia. Nahitaj kujua naumwa Nini na tiba yake ni nini?


Maumivu ya kichwa

Dalili za maumivu ya kichwa zinaweza kumsaidia dakitari wako ajue nini kinachosababisha maumivu hayo hatimaye kujua matibabu yako yatakuwa vip. Kuuma kwa kichwa maranyingi huwa hakusababishwi na sababu za hatari sana au hakumaaanishi kuna ugonjwa mbaya sana unaendelea mwilini, lakini wakati mwingine kunaweza kumaanisha kuna ugonjwa wa hatari mwilini unaohitaji matibabu ya haraka. Kuuma kwa kichwa kunaweza kugawanywa katika makundi kutokana na visababishi


Bonyeza hapa kusoma kuhusu ni vitu gani daktari wako angependa kufahamu kuhusu maumivu yako ya kichwa kabla ya kwenda kumwona


Bonyeza hapa kuendelea kusoma kuhusu maumivu ya kichwa katika tovuti hii


10 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page