top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Kukojoa mara kwa mara kwa mwanamke asiye mjamzito husababishwa na nini?

Nina shida ya kukojoa mara kwa mara usiku na mchana si mjamzito nimepimwa UTI sina.. je inaweza sababishwa na nini hii Hali?

8 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page