top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Ukimwi unaonekana baada ya muda gani?

  • Je inachukua muda gani kutambulika kwamba una ukimwi kwenye kipimo?

  • Ukimwi unaonekana baada ya muda gani kupita?

  • Kipimo cha ukimwi kinaweza kutambua una ukimwi baada ya muda gani?

  • Maambukizi ya ukimwi huonekana kwenye vipimo baada ya muda gani kupita?

16325 Views

Na huu niuhalifu huwezi kuwa na maambukizi ukaenda kumuambukiza kwa maksudi mwenzio

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page