top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Nini husabisha Bawasili?

Mishipa inayozubguka mlango wa kutolea kinyesi(mkundu) hutanuka kukiwa na shinikizo kubwa/ mgandamizo na hivo huweza kujaa au kuvimba kutokana na kuwepo kwa damu ndani yake. Mishipa iliyovimba maeneo haya huitwa hemorrhoids hutokea na vitu vifuatavyo vinaweza kuongeza shinikizo maeneo hayo kisha kusababisha mishipa hii kuvimba 

  • Kukenya wakati wa kujisaidia (kutumia nguvu nyingi wakati wa kutoa haja kubwa 

  • Kukaa mda mrefu chooni unapokuwa unajisaidia 

  • Kuhara kwa muda mrefu au choo kigumu

  • Kitumbo(kuwa na tumbo kubwa) uzito kupita kiasi

  • Ujauzito

  • Kufanya mapenzi kwa njia ya haja kubwa-Kulawiti

  • Kula chakula chenye nyuzinyuzi kidogo

Bawasili hutokea sana kwa watu wazima au wanaapokuwa wazee maana kuta zinazozuia mishipa hii huvutika na kutanuka jinsi mtu anavyokuwa mzee

5 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page