top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Picha ya vipele vya UKIMWI

UKIMWI unaweza kusababisha vipele vya aina mbalimbali, mtu mwenye vipele anaweza kupata kutokana na sababu nyingine mbali na ugonjwa wa UKIMWI. Hata hivyo ifahamike kuwa, kuugua UKIMWI au ugonjwa mwingine unaosababishwa upungufu wa kinga mwilini, huweka mwili kwenye hatari ya kupata magonjwa mbalimbali ya ngozi yanayoleta mwinekano wa vipele. Huwezi tambua UKIMWI kwa kuangalia uwepo wa vipele kwenye ngozi, bali ni kwa kufanya vipimo tu. Picha ya vipele zinazofuata zinaweza kusababishwa na UKIMWI au magonjwa mengine ya ngozi yasiyohusiana kabisa na UKIMWI. Wasiliana na Daktari wako kwa uchunguzi endapo unapata vipele hivi na huna uhakika vnasababishwa na nini.





PPE



PPE










Sunzua

Sunzua
Sunzua


Herpes

Herpes

Mkanda wa jeshi

Kumbuka makala hii imejibu sehemu ya maswali yanayohusu dalili za UKIMWI kwenye ngozi na aina ya vipele vya UKIMWI. Kwa maelezo zaidi soma katika makala ya dalili za UKIMWI kwenye ngozi sehemu nyingine katika tovuti hii.


Video inayoelezea majina ya vipele

Ingia kwenye video ya vipele vya ukimwi kuona picha na maelezo ya ziada kuhusu vipele vya ukimwi. Pia unaweza kupata maelezo zaidi katika makala ya vipele vya ukimwi.

1398 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page