top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Je kama nikivaa kondomu nikajamiana na mweye gono nitapata?

jibu ni hapana. Endapo utavaa kondomu kisahihi kisha ukajamiana na mtu mwenye gono ume kwa uke hutapata gono. Jifunze namna ya kuvaa kondomu kisahihi kwenye tovuti hii.


5 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page