Mimi niliingia kwenye siku zangu mwanzo wa mwezi huu wa 2 nikamaliza, nikaaanza Tena yapata week sasa na tumbo chini ya kitovu inauma.
sijatoa mimba Wala situmii uzazi wa mpango. Shida inaweza kuwa nini?
6 Views
sijatoa mimba Wala situmii uzazi wa mpango. Shida inaweza kuwa nini?