top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Siku ya kushika mimba- Mzunguko wa siku 35

Ukurasa huu utakuwa na video mbalimbali zinazoonyesha siku ya kushika mimba na namna ya kushika mimba katika mzunguko wa hedhi wa siku 35 tu. Fuatilia kwa uendelevu kwa kuwa kila mwezi kutakuwa na video mpya inayoonyesha tarehe za kujamiana pasipo kinga ili kushika mimba.


Siku ya kupata mimba Februari 2025 kwenye mzunguko wa hedhi wa siku 35




Siku ya kupata mimba Februari 2025 kwenye mzunguko wa hedhi wa siku 35



Siku ya kupata mimba Januari 2025 kwenye mzunguko wa hedhi wa siku 35




Siku ya kupata mimba Disemba 2024 kwenye mzunguko wa hedhi wa siku 35


Siku ya kupata mimba Novemba 2024 kwenye mzunguko wa hedhi wa siku 35



Maelezo ya mizunguko mingine mbali na mzunguko wa siku 35?

Jifunze kuhusu tarehe za kushika mimba kwenye mizunguko mingine kwa kubofya mzunguko halisi


Wapi utapata maelezo zaidi ya mizunguko mingine?

Je mzunguko wako haupo kwenye mizunguko iliyoorodheshwa? Wasiliana na daktari wako au uliza kwa madaktari wetu. Toa pendekezo la mzunguko wako kuwa unatolewa maelezo kwenye sanduku la maoni au kiboksi cha ujumbe kulia.



327 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page