Vidonda vya tumbo vinaweza kusababisha tumbo kujaa gesi na kutoa choo chenye kamasi?
Naomba kujuzwa tafadhali, hivi ni kweli vidonda vya tumbo vinaweza kumfanya mtu kuwa na gesi tumboni? Na je, changamoto hii ya tumbo kujaa gesi inaweza kusababisha mtu kutoa choo chenye mfanano wa kamasi?
47 Views