top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Kinga na tiba ya maumivu ya kifua kubana ni ipi?


18 Views

Tiba ya maumivu na kifua kubana hutegemea kisababishi, endapo sababu inafahamika kuwa ni maambukizi utatumia dawa za kuondoa hayo maambukizi, endapo sababu ni ingine basi tiba itafanyika kulingana na nini alichoona daktari wako. Ongea na daktari ili ufanye naye miadi ya kuonana kwa vipimo na matibabu. Bonyeza hapa kusoma sababu mbalimbali zinazosababisha maumivu ya kifua na kifua kubana

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page