top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Mm Nina tatizo la kukojoa Mara kwa Mara I we mchana hataa usiku na miaka 25 saiv ni miaka 4 na pia nilisha pima kisukari na UTI sina tarizo

Majibu



Kukojoa mara kwa mara ni hali ya kuhisi haja ya kwenda kukojoa zaidi ya kawaida yako, unaweza kuwa unakojoa kiwango kikubwa cha mkojo kuliko kawaida ama kiasi kidogo kidogo sana.


Kukojoa mara kwa mara kunaweza kutokea wakati wa mchana au usiku tu au wakai wote yaani  usiku na mchana.

Kukojoa mara kwa mara huweza kuasili hali ya usingizi, kazi ama utu wako.

Visababishi ni nini?

Kukojoa mara kwa mara huweza kusababishwa na magonjwa yanayoathiri mfumo wa mkojo kwenye sehemu yoyote ile. Mfumo wa mkojo huhusisha figo, mirija ya mkojo, kutoka kwwenye figo mpaka kwenye kibofu, kibofu cha mkojo, na mrija unaotoa mkojo nje ya mwili(urethra)


soma zaidi makala hii kwa kubonyeza hapa

17 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page