Kutokwa na damu puani husababishwa na nini na nini tiba?
Samahani doctor mimi na matatizo ya kutokwa na damu puani kwa siku hata mara tatu na huwa zikianza kutoka, zinatoka nyingi sanaa na muda mrefu sanaa je tatizo hili linatibika na kuisha kabisa?
13 Views