top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Azuma inatibu gono?

  • Dawa ya azithromycin inatibu gono?

  • Ni dawa gani za kutibu gono?

  • Azuma ni dawa ya gono?

24185 Views

Mmi sijawahi kupima Ila huwa natokwa sana na mapele makubwa magumu ambayo wakati mwingine hayaumi baadae yanaiva Kama jibu yanatoa usaha kinaweza kutoka kimoja tu afu kikapotea nakaa kwa mda mrefu afu kinajitokeza Tena na nimeanza kuona hizi dalili kabla hata sijavunja ungo na kabla hata ya kuanza kujamiiana msaada pls

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page