top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Je ni dawa gani zinatibu uchafu unaotoka sehemu za siri?


37 Views

Kutokwa na uchafu sehemu za siri huweza kusababishwa na matatizo mbalimbali ikiwa pamoja na magonjwa ya zinaa au ugonjwa wa UTI au saratani. Wasiliana na daktari wako ili kufahamu ni nini tatizo lako kabla ya kujichukuliwa hatua ili kupata matibabu sahihi. Ili kufahamu baadhi ya dawa bonyeza kuingia kwenye linki hii ya dawa za kutibu matatizo mbalimbali kama UTI na magonjwa mengine

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page