Dawa za kutibu damu kwenye kinyesi| ULY CLINIC
Daktari naomba kujua ni dawa gani hutumika kutibu damu kwenye kinyesi, nasumbuliwa n atatizo hili kwa mudamrefu.
11 Views
Daktari naomba kujua ni dawa gani hutumika kutibu damu kwenye kinyesi, nasumbuliwa n atatizo hili kwa mudamrefu.
Dawa ya kutibu kutoka damu kwenye kinyesi hutegemea kisababishi, Wasiliana na daktari wako kujua zaidi ni nini kisababishi kwako kabla ya kutumia dawa yoyote ile
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri zaidi kwa kutumia namba za simu chini ya tovuti hii.
Pia bonyeza hapa kusoma zaidi kujua kuhusu tatizo lako.