top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Je ni bakteria gani anasababisha vidonda vya tumbo?


8 Views

bakteria anayesababisha vidonda vya tumbo huitwaje?


Bakteria anayesababisha vidonda vya tumbo anaitwa kwa jina la Helicobater pyrol. Bacteria huyu huishi kwenye kuta za tumbo la chakula. Endapo bateria ataingia kuta ya chini ya tumbo la chakula huweza kusababisha uharibisu unaopelekea vidonda vya tumbo.


Unaweza kupata maambukizi kwa kubusiana, kula vyakula vilivyochanganyika na kinyesi au majimaji ya kinyesi.

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page