top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Doctor je fangasi wa kichwa wanaweza kusababisha nywele kunyonyoka/kipala?


22 Views

Jibu ni ndio, fangasi kichwani hula masina ya nywele na hivyo kupelekea nywele kupotea. Hata hivyo tatizo likitibiwa na kuisha nywele huwa zinarejea kama awali

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page