top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Kutokuona hedhi husababishwa na nini?


19 Views

Kutoona kwa damu ya mwezi hufahamika kitiba kama amenorrhea. Hili ni tatizo la kutoona damu ya mwezi au kukatika kwa damu ya hedhi kwa wanawake waliokweisha vunja ungo, husababishwa na sababu mbalimbali pamoja na magonjwa ndani ya mwili. Endapo bado hujavunja ungo, upo wakati wa ujauzito, au mienzi ya mwanzoni wakati wa kunyonyesha baada ya kujifungua na baada ya kukoma hedhi, tatizo la kutoona hedhi halitakuwa amenorrhea. Soma zaidi kwa kubonyeza hapa

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page