top of page
Upungufu wa Homoni
Sehemu hii utajifunza mambo mbalimbali kuhusu upungufu wa homoni mwilini
Haipothairoidizimu
Haipothairoidizimu ni hali ya kutozalishwa kwa kiwango cha kutosha cha homoni ya thairoid. Homoni ya thaitoid hufanya kazi muhimu mwilini. Upungufu wa uzalishaji wa homoni hii huambatana na dalili mbalimbali mapema Zaidi wakati upungufu unatokea kama tatizo la obeziti, maumivu ya maungio ya mwili, ugumba na magonjwa ya moyo.
bottom of page