top of page

Anajizia

Mwandishi:

ULY CLINIC

15 Juni 2021 13:33:11

Anajizia

Anajizia ni ni nini?


Anajizia ni upotevu wa hisia kwenye maumivu, ni ishara muhimu ya ugonjwa katika mfumo wa kati wa fahamu, na mara nyingi hutoa ishara ya sehemu gani haswa ya uti wa mgongo ina shida.


Anajizia hutokea mar azote na dalili ya kupoteza hisia kwenye joto kwa sababu mishipa ya fahamu ya maumivu husafirisha hisia za joto pia ndani ya mfumo uti wa mgongo. Anajizia huweza tokea pamoja na dalili ya parasthezia, kupotea hisia ya maungio na mtetemo katika matatizo mbalimbali yanayohusisha mfumo wa katiwa fahamu na nevu za mfumo wa pembeni wa fahamu.


Matamshi ya neno anajizia


Anajizia hutamkwa kama 'anal- dji- zia'

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:20:30

bottom of page