top of page

Damusuziada

Mwandishi:

ULY CLINIC

11 Juni 2023 18:18:29

Damusuziada

Damusuziada ni neno linalotumika kumaanisha kuwa na kiwango cha glukosi cha ziada au kikubwa kuliko kawaida kwenye damu.


Kuwa na kiwango cha ziada cha glukosi kwenye damu hutokea pale endapo kiwango kimezidi milimol 7.0 kwa lita moja ya damu kabla ya kula au zaidi ya milimol 11.1 saa 1 au mawili baada ya kula.

Imeboreshwa,

11 Juni 2023 18:41:12

bottom of page