top of page
Dawa ngazi ya pili
Mwandishi:
ULY CLINIC
22 Julai 2021, 08:36:04
Dawa ngazi ya pili maana yake nini?
Dawa ya ngazi ya pili katika matibabu ni dawa ya pili iliyopendekezwa kutibu ugonjwa iwapo dawa ya uchaguzi wa kwanza ina mwingiliano na dawa zingine anazotumia mgonjwa, haikumtibu mgonjwa,imeleta mzio kwa mgonjwa.
Imeboreshwa,
6 Juni 2022, 14:57:45
bottom of page