top of page

Dozi ya dawa

Mwandishi:

ULY CLINIC

21 Julai 2021 18:44:18

Dozi ya dawa

Dozi ya dawa ni kiasi cha dawa kinachotumika kwa mara moja.


Mfano 2 x 4 ikimaanisha tumia vidonge 2, au vijiko 2 n.k mara 4 kwa siku.


Katika mfano huo juu, dozi ya dawa ni vidonge 2

Imeboreshwa,

13 Novemba 2021 13:51:40

bottom of page