top of page

Mwandishi:

Dkt. Sospeter B, MD

15 Mei 2023, 13:53:51

Gangrini

Gangrini ni neno tiba lenye maana ya "Uozo kwa tishu" kutokana na maambukizi au kukosa damu kwenye sehemu ya mwili.

Gangrini ni neno tiba lililotokana na neno gangraena lenye asili ya kilatini na neno gangraina lenye asili ya kigiriki lenye maana ya "Uozo kwa tishu" kutokana na kukosa damu au maambukizi. Gangrini zipo za aina mbili, "gangrini kavu" na "gangrini tepe"

Imeboreshwa,

15 Mei 2023, 14:20:31

bottom of page