top of page
Gono
Mwandishi:
ULY CLINIC
31 Mei 2022, 13:02:45
Gono ni nini?
Neno gono hutumika sana kama kifupisho cha neno gonorrhea, hivyo gono ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na kimelea mwenye jina la Neisseria gonorrhoeae.
Majina mengine yanayomaanisha gono:
Baadhi ya watu hutumia maneno yafuatayo kumaanisha gono;
Gonorea
Kisonono
Gonorrhoea
Gonolea
Imeboreshwa,
6 Juni 2022, 14:37:53
bottom of page