top of page
Kimeg'enya
Mwandishi:
ULY CLINIC
19 Julai 2021 19:14:59

Kimeng'enya ni nini?
Kimeng’enya ni kichocheo cha kibaolojia kinachoongeza kasi ya mwitikio wa ki bayokemia bila mabadiliko yoyote.
Mfano wa vimeng’enya
Mfano wa vimeng’enya ni;
Amylase
Pepsin
Alanine transaminase (ALT)
Aspartate transaminase (AST)
Alkaline phosphatase (ALP) na
Gamma-glutamyl transpeptidase (GGT)
Wingi wa neno kimeng’enya ni vimeng’enya
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 15:09:12
bottom of page