top of page
Kozi ya matibabu
Mwandishi:
ULY CLINIC
21 Julai 2021 18:49:35
Kozi ya matibabu maana yake nini?
Kozi ya matibabu ni kiasi cha dawa kinachotumika ili kukamilisha matibabu. Inaelezea ni muda gani mgonjwa ataendelea kutumia dawa ili kufanikisha tiba kamili. Kwa mfano siku tano, saba, kumi au mwezi
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 15:03:41
bottom of page