top of page

Kuhara

Mwandishi:

ULY CLINIC

11 Juni 2023 19:16:31

Kuhara

Kuhara ni neno tiba linalomaanisha kupata haja kubwa yenye majimaji mara tatu zaidi ya kawaida, mara nyingi hutokana na kushindwa kufyonzwa kwa maji kwenye utumbo mpana. Kuhara kwa ghafla mara nyingi husababishwa na maambukizi wakati tatizo sugu la kuhara husababishwa na kutohimili kwa mafuta au maambukizi.

Imeboreshwa,

20 Julai 2023 07:50:04

bottom of page