top of page

Magonjwa ya mwili kujila

Mwandishi:

ULY CLINIC

14 Juni 2021 18:02:56

Magonjwa ya mwili kujila

Magonjwa ya mwili kujila ni nini?


Ni magonjwa yatokanayo na shambulio binafsi la kinga ya mwili.


Shambulio binafsi hutokea endapo mwili unazalisha chembe ulinzi zinazoshambulia chembe zingine hai za mwili, mfano wa magonjwa ya shambulio binafsi ni baridi ya bisi. Kwa jina jingine hufahamika kama ‘magonjwa ya autoimyuni’

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:23:35

bottom of page