top of page

Michomo ya kinga ya mwili

Mwandishi:

ULY CLINIC

14 Juni 2021 18:02:56

Michomo ya kinga ya mwili

Michomo ya kinga ya mwili ni nini?


Ni njia ya mfumo wa fahamu kupambana na maradhi kwa kuzalisha antibodi na chembe nyeupe za damu ili kushambulia maambukizi au majeraha yaliyotokea.


Eneo lililo na maambukizi au majeraha linapotembelewa na kemikali, antibodi na chembe nyeupe za damu huwa na dalili za ujoto, wekundu, uvimbe, maumivu na kupoteza uwezo wa kufanya kazi. Kwa jina jingine hufahamika kama 'inflammation'.

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:23:54

bottom of page