top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Sospeter B, MD

10 Oktoba 2021, 12:34:32

Chanjo gani ya COVID-19 inafaa kwa Watoto?

Chanjo gani ya COVID-19 inafaa kwa Watoto?

Chanjo za COVID-19 zinatolewa kwa watu wenye umri fulani na kuendelea kulingana na aina ya chanjo. Mfano, chanjo ya Pfizer inatolewa kwa watu wenye umri kuanzia miaka 12 wakati Janssen inatolewa kwa watu wenye umri kuanzia miaka 18. Watoto hawako katika hali hatarishi inayotokana na ugonjwa wa COVID-19. Tafiti zinaendelea kuchunguza iwapo chanjo za COVID-19 zinafaa na ni salama kwa matumizi ya watoto wadogo.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

14 Novemba 2021, 09:51:20

Rejea za mada hii

bottom of page