top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

10 Oktoba 2021, 16:10:35

Chanjo gani ya COVID-19 nzuri kwa Watoto wadogo?

Chanjo gani ya COVID-19 nzuri kwa Watoto wadogo?

Watoto wengi hawapo katika hatari ya kuambukizwa Covid-19 na hivyo inashauriwa watumie vitu vingine kama kuvaa barakoa, kutakasa mikono, kutokusanyika n.k katika kujilinda kutokana na maambukizi ya korona.


Tafiti zinaeendelea kuhusu usalama wa achanjo kwa watoto. Chanjo ya Pfizer/BionTech imefanyiwa tafiti na kuonekana inafaa na ipo salama kwa watoto kuanzia miaka 12 kwenda juu. Watoto ambao wapo kwenye hatari ya maambukuzi ya COVID-19 wanaweza kuchanjwa chanjo hiyo. Tafiti bado zinaendelea kwa watoto chini ya miaka 12.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021, 16:49:44

Rejea za mada hii

bottom of page