top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021 06:11:48

Chanjo nzuri ya COVID-19 kwa Waafrika

Je, chanjo ipi ya COVID-19 inafaa kutumika kwa wa africa

Chanjo zote zilizothibitishwa na mamlaka za Serikali, pamoja na kuorodheshwa na Shirika la Afya Ulimwenguni ni salama na zinaweza kutumiwa na mtu yeyote bila kujali rangi, jinsia wala utaifa.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 09:16:40

Rejea za mada hii

bottom of page