top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 12:06:55

Chanjo ya COVID-19 inazuia ujauzito?

Chanjo ya COVID-19 inazuia ujauzito?

Hakuna tafiti au majaribio yanayoonyesha kuwa chanjo ya COVID-19 inasababisha mtu asipate ujauzito. Tafiti zilizofanyika mpaka sasa bado zinaonyesha chanjo za COVID-19 zilizoidhinishwa mpaka sasa ni salama kwa akina mama wenye ujauzito na hazizuii utungishaji wa mimba.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 15:21:04

Rejea za mada hii

bottom of page