top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 11:22:57

Chanjo ya COVID-19 kwa mwenye ugonjwa sasa

Je, mtu ambaye ana ugonjwa wa COVID-19 anatakiwa kupewa chanjo?

Inashauriwa kuwa mtu anayeumwa COVID-19 asichomwe chanjo ya COVID-19 wakati anaumwa mpaka kufikisha muda wa miezi mitatu baada ya kupona ndipo apatiwe chanjo.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 15:12:46

Rejea za mada hii

bottom of page