top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

10 Oktoba 2021, 12:45:16

Chanjo ya COVID-19 kwa wazee ni tiba au ni kinga?

Chanjo ya COVID-19 kwa wazee ni tiba au ni kinga?

Chanjo ya COVID-19 ni kinga ya ugonjwa mkali na madhara ya COVID-19 kwa kila mmoja.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021, 12:45:16

Rejea za mada hii

bottom of page