top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 12:05:03

Chanjo ya COVID ina sumaku?

Je ukichomwa chanjo ya Corona ukiweka kitu chenye asili ya chuma kinaganda?

Hapana!


Sio kweli. Chanjo za COVID-19 zilizoidhinishwa zimefanyiwa uchunguzi wa kimaabara na kuonekana kuwa hazina kitu chenye kunatisha chuma. Baadhi ya watu kwa nia ya kupotosha huweka super glue au gundi ili ukiweka kitu kigande au kunata. Kuthibitisha ili, kwa kuwa kwa sasa kuna watu ambao wameshapata chanjo ya COVID-19 wafanye hilo jaribio waone kama ni kweli au la.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 15:07:35

Rejea za mada hii

bottom of page