top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Sospeter B, MD

9 Oktoba 2021 12:44:20

Faida za kuchoma chanjo ya COVID-19

Faida gani mtu anapata anapochanjwa chanjo ya Corona?

Tafiti zinaonyesha watu waliopata chanjo ya COVID-19, miili yao ina kinga ya kutosha kuweza kuzuia kupata ugonjwa mkali, madhara makubwa na vifo wakipata maambukizi ukilinganisha na wale ambao hawajapata chanjo.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 15:03:37

Rejea za mada hii

bottom of page