top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 10:45:57

Je, chanjo ni salama?

Je, chanjo ni salama? Na kama sio salama kama wanasiasa wanavyosema hatuoni kama ni hatari kwa jamii?

Kabla ya Shirika la Afya Duniani kupitisha chanjo au dawa yoyote ili kutumika kwa biandamu, hujiridhisha vya kutosha kuhusu ufanisi, ubora na usalama wa kila chanjo na dawa na hivyo chanjo za COVID-19 ni salama.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 12:28:04

Rejea za mada hii

bottom of page