top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021 07:46:05

Je, chanjo ya Corona bado ipo kwenye majaribio?

Je, chanjo ya Corona bado ipo kwenye majaribio?

Chanjo zilizopata kibali kwa ajili ya matumizi ya umma hazipo tena kwenye majaribio isipokuwa chanjo mpya ambazo zitatumika baada ya majaribio hayo kukamilika na kuridhishwa na usalama wake.


ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 09:16:31

Rejea za mada hii

bottom of page