top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

10 Oktoba 2021, 12:43:12

Je, chanjo ya corona imedhitishwa au bado iko kwenye majaribio?

Je, chanjo ya corona imedhitishwa au bado iko kwenye majaribio?

Chanjo imedhibitishwa na mamlaka kuwa salama japo bado kuna taarifa zinafanyiwa uchunguzi kwani mengi bado hayajulikani kuhusu COVID-19.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021, 12:43:12

Rejea za mada hii

bottom of page