top of page

Mwandishi:

Dkt. Benjamin L, M.D

Mhariri:

Dkt. Peter A, M.D

9 Julai 2023 20:25:30

Je, kiwango cha kawaida cha manii ni ngapi?

Je, kiwango cha kawaida cha manii katika shahawa ni ngapi?

Kwa kawaida kila mililita moja ya shahawa huwa na manii milioni 15 hadi 200. Mwanaume huhesabika kuwa na kiwango kidogo cha manii endapo kiwangocha manii kipo chini ya milioni 15 kwa mililita moja ya shahawa au chini ya milioni 39 kwa kila bao moja la shahawa lililomwagika.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Julai 2023 20:25:30

Rejea za mada hii

  1. Male infertility. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/books/NBK562258/#. Imechukuliwa 09.07.2023

  2. Mayo clinic. Low sperm count. https://www.mayoclinic.org/diseases-conditions/low-sperm-count/diagnosis-treatment/drc-20374591#:. Imechukuliwa 09.07.2023

bottom of page