top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
10 Oktoba 2021, 13:43:03
Je, kwanini kuna chanjo tofauti za Korona?
Kuna watengenezaji mbalimbali wa chanjo, kila mtengenezaji anachagua teknolojia ya kutumia wakati anavumbua chanjo yake hivyo chanjo zinakuwepo mbalimbali
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021, 13:43:03
Rejea za mada hii
bottom of page