Mwandishi:
Dkt. Mangwella S, MD
Mhariri:
Dkt. Lugonda B, MD
20 Novemba 2021 18:04:46
Je, unahitaji fanya vipimo kabla ya kuanza kutumia majira yenye vichocheo viwili?
Unaweza anza kutumia majira yenye vichocheo viwili:
Bila kufanyiwa upimaji via ndani ya nyonga
Bila kufanyiwa vipimo vyovyote vya damu au vipimo vyovyote vya maabara
Bila kupimwa saratani ya shingo ya kizazi
Bila kufanyiwa uchunguzi wa matiti
Hata wakati hauko katika hedhi wakati huo, kama itadhihirika kuwa huna ujauzito
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
20 Novemba 2021 18:04:46
Rejea za mada hii
Family planning. Using Clinical Judgment in Special Cases. https://www.fphandbook.org/using-clinical-judgment-special-cases-5. Imechukuliwa 20.11.2021
Krashin JW, et al. Required examinations and tests before initiating contraception: Provider practices from a national cross-sectional survey. Contraception. 2021 Apr;103(4):232-238. doi: 10.1016/j.contraception.2021.01.004. Epub 2021 Jan 14. PMID: 33454373.
Brynhildsen, et al. “Combined hormonal contraceptives: prescribing patterns, compliance, and benefits versus risks.” Therapeutic advances in drug safety vol. 5,5 (2014): 201-13. doi:10.1177/2042098614548857