top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 11:37:13

Je, Watoto wadogo hawapati Korona?

Je, Watoto wadogo hawapati Korona?

COVID-19 inawapata watu wa rika na jinsia zote. Lakini tafiti zimeonesha watoto wengi wanapopata ugonjwa huu hawaoneshi dalili na kama zikionekana huwa za kiasi. Endelea kuchukua tahadhali kuwalinda watoto

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 12:27:53

Rejea za mada hii

bottom of page