top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Sospeter B, MD

10 Oktoba 2021, 16:08:02

Je chanjo inatolewa kwa njia gani? (IV au IM au SQ)?

Je chanjo inatolewa kwa njia gani? (IV au IM au SQ)

Kuna chanjo za aina tofauti na huwa na njia tofauti za kuingia mwilini, chanjo zilizopo Tanzania kwa sasa zinaingia mwilini kupitia kuchoma sindano msuli ya bega kushoto au kulia (IM).

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021, 16:08:02

Rejea za mada hii

bottom of page