top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

10 Oktoba 2021 16:40:18

Je chanjo ya COVID 19 ni salama kwa watoto wadogo walio juu ya miaka 12?

Je chanjo ya COVID 19 ni salama kwa watoto wadogo walio juu ya miaka 12?

Tafiti zinaonyesha kuwa chanjo ya Corona ni salama na ina kidhi ubora na viwango, na inashauriwa kutumika kwa watu wenye umri zaidi ya miaka 12. Na katika kutolewa kuna makundi yanayotolewa kipaumbele katika kupewa chanjo.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 16:40:18

Rejea za mada hii

bottom of page