top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
10 Oktoba 2021, 16:32:26
Je kupata chanjo kunaweza kuathiri mzunguko wa mwezi wa hedhi?
Hapana!
Chanjo ya Corona haina mwingiliano wowote na mfumo wa hedhi na homoni za kike kwa kuwa hufanya kazi kwa kuwezesha mwili kuzalisha kinga na sio kuathiri homoni. Hedhi huwa inadhibitiwa na na kemikali ndani ya mwili.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021, 16:42:32
Rejea za mada hii
bottom of page