top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

10 Oktoba 2021 16:30:18

Je kupata chanjo ya COVID 19 kunaweza kunifanya niumwe?

Je kupata chanjo ya COVID 19 kunaweza kunifanya niumwe?

Unapochanjwa unaweza kupata maudhi madogo madogo kutokana na chanjo kama vile maumivu ya msuli, maumivu ya kichwa na homa.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 16:30:18

Rejea za mada hii

bottom of page